Je? Wajua kwanini kuna vifo vya kushitukiza kwa kuku wako, hii ndio sababu | KUKUKIBIASHARA
Breaking News
Loading...

Ad

Jumanne, 16 Mei 2017

Je? Wajua kwanini kuna vifo vya kushitukiza kwa kuku wako, hii ndio sababu

HOMA KALI YA MATUMBO/ FOWL TYPOID

huu ni ugonjwa unao sababishwa na bacteria na hushambulia kuku wakumbwa na wadogo.

Jinsi unavyo enea
• Ni katika chakula kilichochafuliwa na kinyesi cha kuku mgonjwa
• Mizoga ya kuku mgonjwa na panya
• Machine za kutotoreshea ambazo zimechafuliwa lakini kwa kupitia yai la kuku mgonjwa

Dalili
• Kuharisha kinyesi cha maji na cha njano
• Vivo vya kushitukiza
• Manyoya kutimika
• Kushusha mabawa
• Upanga na masikio kupauka kwa kukosa damu
• Vifaranga hutotolewa wakiwa wamekufa
• Kijikusanya pamoja kukosa hamu ya kula
• Kuganda kinyesi

Tiba
Dawa za antibiotiki
• ESB3
• OTC plus
• Pia sulfa – hii ni habari maana kuku hupunguza uwezo kutaga




google+

linkedin

About Author
  • Naitwa Mordecai Minga,Karibu kwanye blog hii ya ufugaji wa kuku kibiashara zaidi Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    mail

    Enter your email address:

    Delivered by FeedBurner