MCHANGANUO WA CHAKULA KULINGANA NA UMRI | KUKUKIBIASHARA
Breaking News
Loading...

Ad

Ijumaa, 3 Novemba 2017

MCHANGANUO WA CHAKULA KULINGANA NA UMRI

MCHANGANUO WA CHAKULA KULINGANA NA UMRI

UMRI (WIKI)AINA YA CHAKULA
0-2Super starter
3-8Chick starter
9-20Grower mash
21-89Layer mash

UMRI WA WIKI 1-2 (SUPER STARTER)

Wiki ya 1: gramu 12 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 2: gramu 22 kwa kuku mmoja kwa siku moja

UMRI WA WIKI 3-8 (CHICK STARTER)

Wiki ya 3: gramu 27 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 4 gramu 32 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 5: gramu 38 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 6: gramu 42 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 7: gramu 46 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 8: gramu 50 kwa kuku mmoja kwa siku moja

UMRI WA WIKI 9-18 (GROWER MASH)

Wiki ya 9: gramu 56 kwa  kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 10: gramu 62 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 11: gramu 64 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 12: gramu 66 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 13: gramu 68 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 14: gramu 74 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 15: gramu 74 kwa  kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 16: gramu 80 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 17: gramu 82 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya18: gramu 88 kwa kuku mmoja kwa siku moja

UMRI WA WIKI 19-40 (LAYERS MASH 1)

Wiki ya 19: gramu 92 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 20: gramu 102 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 21: gramu 108 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 22: gramu 114 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 23: gramu 116 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 24: gramu 120 kwa kuku mmoja kwa siku moja
Wiki ya 25-40: gramu 130 kwa kuku mmoja kwa siku moja

UMRI WA WIKI 41-80 (LAYERS MASH 2)

Gram 130 kwa kuku mmoja kwa siku


NB: jinsi ya kubadili gramu kuwa kilo ni kama ifuatavyo
         Kilo 1 = gramu 1000
      Mfano -    una vifaranga 100 na unatakiwa kuwapa chakula cha wiki ya kwanza tangu kuzaliwa
                      kifaranga 1     = gram 12 (siku)
                      vifaranga 100 =    ?

                     vifaranga  100 kuzisha gramu 12
                                        kifaranga1
12× 100 = 1200 gramu kwa siku

Kubadili gramu 1200 kuwa kilogramu

Kilo 1 = gramu 1000
   ?     =  gramu 1200

Kilo 1 × gramu 1200
      Gramu 1000

= kilo 1.2 (kilo 1 na gramu 200) kwa kuku 100 kwa siku

google+

linkedin

About Author
  • Naitwa Mordecai Minga,Karibu kwanye blog hii ya ufugaji wa kuku kibiashara zaidi Read More

    Maoni 1 :

    1. Ingiza maoni yako...asante sana mungu akubariki nimeipenda hii mno

      JibuFuta

     

    mail

    Enter your email address:

    Delivered by FeedBurner