MAGONJWA SUGU YA MFUMO WA HEWA
Chanzo cha maambukizi
• Maji na chakula kilichochafuliwa na kinyesi cha kuku wagonjwa na kwenye vimelea
• Kupitia mfumo wa hewa kutoka kuku wagonjwa
• Kupitia mayai, hivyo maambukizi huendelea kutoka kizazi hadi kizazi
Dalili
• Kuku kukoroma
• Kuku hutoa makamasi
• Kuku wanakohoa kwa muda mrefu, wiki hadi mwezi
• Kuvimba macho
• Kutingisha kichwa
• Vivo vya kuku viaweza kufikia hadi asilimia 20
Uchunguzi
Kamasi nzito zenye usaha zilizotapakaa kwenye pia, koromeo, mapafu na vifuko vya hewa
Tiba
Madawa aina ya sulfa na antibiotiki
0 comments:
POST A COMMENT