Kukukibiashara blog ni blog ihusuyo ufugaji bora wa kuku kibiashara ,inatoa mafunzo juu ya aina mbalimbali za kuku na faida zake, aina za magojwa yanayo athiri kuku na pia utajifunza aina za chanjo zihusuzo kuku, kutoa semina kwa kuwaalika wataalamu mbalimbali waliobobea katika masuala ya ufugaji,na kualika wafugaji wazoefu ilikujifunza namna walivyofanya na kufanikiwa.
Tunapokea matangazo beru kutoka kwa mfugaji na kumtafutia masoko kutoka kila kona ya Tanzania na baada ya kuwapata wateja tutachukua 10% ya bei ya kuuzia. mfano kuku wako unamuuza 10,000, sisi tutachukua 10% ambayo ni 1,000, kifaranga kimoja kikiuzwa 2500/= 10% ni 250
Pia kwa wale wanaoitaji vifaranga aina zote, kuku wakubwa, mayai, chakula, na madawa vyote hivi vinapatikana na popote ulipo Tanzania utatumia bila shaka yoyote.

Karibu sana
Haya ni malengo katika wanafamilia wa group la whatsapp na pia unakaribisha wewe kama mfugaji wa kitanzania tuungane katika safari yetu hii.
Malengo ya kikundi cha kuku kibiashara 2018
1. Kila mwanakundi kuchangia ada ya kundi ya sh.10,000. kwa ajili ya uendeshaji wa semina mbalimbali zitakazo fanyika na safari za kuwa tembelea wanavikundi.
2. Faini ya sh. 5000 kwa mwanakundi yoyote atakaye post kitu kisichohusiana na kuku, akishindwa atatoleawa ndani ya masaa 24.
3. Kuanzisha na kutambua vikundi vya ufugaji kila mkoa.
4. Kutafuta masoko makubwa kwa ajili ya vikundi vya familia ya kukukibiashara kupitia (maafisa masoko wa kundi watakao chaguliwa.)
5. Kuwa na vikoba kwa ajili ya kundi ili kuwezesha kufikia malengo ya vikundi vya uzalishaji.
6. Kusimamia vikundi ilikufikia malengo ya kuzalisha kuku kwa wingi na mayai mengi kulingana na soko.

0 comments:
POST A COMMENT