Fahamu kwanini Kuku wako anaharisha damu. | KUKUKIBIASHARA
Breaking News
Loading...

Ad

Jumatatu, 22 Mei 2017

Fahamu kwanini Kuku wako anaharisha damu.

KUHARA DAMU ( COCCIDIOSIS)

Protozoa ni vimelea ambayo husababisha ugonjwa huu. Rika zote za kuku hushambulia na ugonjwa huu.

JINSI UNAVYOENEA
Chakula chenye kinyesi au maji yenye ugonjwa huu yanaweza pelekea kuku kuambukizwa.

DALILI
•Kuharisha kinyesi kilichochanganyika na damu
•Kuku kujitenga na wenzie au wengine bandani
•Kupoteza hamu ya kula
•Mabawa kushuka na kuzubaa
•Kudhoofu a kupungua uzito

TIBA
Dawa aina ya AMPROLIUM, OXYTRACYCLINE au SALFA

KINGA
•Usafi wa banda na vyombo vya chakula na maji
•Tenganisha vifaranga na kuku wakubwa
•Ikifika umri wa siku saba vifaranga wapewe AMPROLIUM kwa siku 3, hata kama dalili za ugonjwa hazijajitokeza

google+

linkedin

About Author
  • Naitwa Mordecai Minga,Karibu kwanye blog hii ya ufugaji wa kuku kibiashara zaidi Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    mail

    Enter your email address:

    Delivered by FeedBurner