AINA ZA KUKU
kuna aina kuu mbili za kuku
1. Kuku wa asili ( kuku wa kienyeji)
2. Kuku wa kisasa
Kuku wa asili
Hawa utofautiana katika maumbo, utagaji, uzito, rangi ya manyoya, ukuaji na uwezo wa kutaga mayai. Kuku wa kienyeji hukua taratibu na utaga mayai machache.
Kuku wa kisasa (zaotic breed)
Hawa ni kuku toka nchi za kigeni pia wana aina mbili ambazo ni
i. Kuku chotara
ii. Pure breed
Kuku chotara
Ni mchanganyiko wa aina mbili au zaidi ya kuku. Siku hizi kuku wanaotakiwa kibiashara ni kuku chotara ( wengine ni wa mayai na wa nyama)
Muhimu
kuku wa kienyeji ni wazuri sana kwa kufuga kibiashara lakini matokeo mazuri ya kuku huyu ni pale atakapofugwa kisasa, hii inamaana kwamba inaitajika chakula kizuri chenye mchanganyiko uliokamilika, banda zuri lenye nafasi,chanjo mbalimbali muhimu kwa ukuaji,uangalizi wa karibu,kutunza kumbukumbu na kuchagua aina nzuri au kabila zuri la kufuga.
Nimfugaji nilio anza kuku wa kienyeji ila kukuza vifaranga inanisumbua vinakufa sana nipo kijiji umeme akuna,mngekuwa mwatuekea na vifaa vya joto vitu vyakutunzia joto,ili tuinge
JibuFutaNahitaji kufahamu njia zakutangaza biashara na nuie
Futa